
Vita ya kupambana na wanamgambo wa islamic state bado inaendelea nchini syria
katika mapigano hayo vikosi vya serikali pamoja na vya marekani vimefanikiwa kumtia nguvuni binti wa miaka kumi na sita raia wa ujeruman
mpaka sasa uchunguzi unaendelea kubaini kama binti huyo ni yule aliye sadikika kupotea au huyu ni mwingine
pia katika kamatakamata raia wengine wamekamatwa wakiwemo raia wa urusi,uturuki na.canada ambao walikuwa wakipigana upande wa islamic state
mpaka sasa vita hivyo vimeua watu zaidi ya milion 5 tangu vilipo anza huku uharibifu mkubwa wa mali ukifanyika nchini humo na raia wengi kukimbia makazi yao
Tags
Kimataifa