
Kuyeyuka kwa barafu kumepelekea kugundulika kwa miili ya watu wawili walio potea mwaka 1942
wawili hao mtu na mke wake walikuwa wakiishi uswis na walipotea mwaka 1942 wakati walipoenda kuchunga ng'ombe hawakurudi
chaajabu miili hiyo haijaoza mpaka sasa na imetambuliwa kuwa ni mtu na mke wake huku mtoto wao mwenye miaka 79 sasa aliitambua miili hiyo
walipotea muda mrefu familia ilijua wameuawa pengine na wanyama lakini hatimae leo miili imeonekana na kuzikwa
Tags
Entertaiment