APIGWA RISASI NJE YA KANISA DAR ES SALAAM



Muumini mmoja apigwa risasi wakati akisubiri kuingia kanisani dar es salaam

tukio hilo limetokea katika kanisa la kibangu mjini dar ea salaam ambapo alikuwa akisubiri kuingia kanisani ghafla akaja mtu na bastola na kumpiga ubavuni na mkononi

baada ya kusababisha tukio hilo mtu mwenye bastora akaanza kukimbia ndipo wananchi wakaanza kumkimbiza huku mtuumiwa akipiga risasi zilivyo kwisha wananchi wakamkamata na kuita polisi

mpaka sasa yupo polisi na uchunguzi unaendelea kubaini kwanini alisababisha tukio hilo


Post a Comment

Previous Post Next Post