JESHI LA MISRI LIMEWAUA WANAMGAMBO 10 WA ISLAMIC STATE



Jeshi la serikali ya misri yasema imewaua wanamgambo kumi wa islamic state

tukio hilo limetokea kaskazini mwamji wa cairo ambapo wanamgambo hao walikuwa wanafanya mazoezi yao ya kila siku

jeshi la misri lilitumia makombora ya kutoka kwenye ndege kuwashambulia wanamgambo hao ambao wamesha fanya mashambulizi kadha nchini misri na moroco

wanamgambo hao ni tawi la kundi la islamic state ambalo lilianzia nchini iraq na kusambaa kote duniani hasa kwenye nchi zenye waislam wengi


Post a Comment

Previous Post Next Post