ALSHABAB WAUA WATU 9 KENYA

Wapiganaji wa kikundi cha kigaidi cha Alshabab wamewaua raia 9 kwenye mpaka wa somaria na kenya

kwa mujibu wa mashuhuda alishabab walivamia katika mji wa mandera uliopo mpakani nakuwashambulia watu

wengine waliuawa kwa risasi juku wengine wakiuawa kwa mapanga  baada ya Alshabaab kuvamia mji hui

mji wa mandera umekuwa ukipokea mashambulizi mengi kutoka kwa wanamgambo hao wa kiislam hushambukia polisi askari jeshi na hata raia kama walivyo fanya leo

Post a Comment

Previous Post Next Post