Mtandaoni kumekuwa na picha za video zikiwaonesha wafungwa wakicheza na wanawake ndani ya gereza nchini afrika kusini
msemaji wa gereza amesema picha hizo ni za kweli na tukio hilo lilitikea katika gereza la.SUN CITY mjini johanesburg ilikuwa siku maalum kwa kuwabadiri wafungwa tabia
mkuu wa magereza alisema kitendo hicho hakukifikilia kama kinaweza fanyika ndani ya gereza na amelaani kitendo hicho huku askari 13 wa magereza wamesimamishwa kazi kutokana na tukio hilo
pia mkuu huyo amesema wanawake hao hawakulipwa pesa za warpakodi ivyo wananchi wasiwe na jazba kipindi wao wanaendelea na uchunguzi ili wafanyie maamuzi tukio hilo la uvunjifu wa sheria ambao umefanywa katika gereza hilo
WANAWAKE WACHEZA UCHI MBELE YA WAFUNGWA
By -
June 27, 2017
0
Tags: