Tundulisu asema mh spika ni mbinafsi na anawadhalilisha wapinzani bungeni
hatua hii ilikuja baada ya spika wa bunge job ndugai kulalamika baada ya kuto hudhulia futari aliyo iandaa wakati wa mfungo wa ramadhani ambapo hakuna mbunge wa upinzani aliye uzuria futari hiyo hali iliyo muumiza job ndugai
tundu lissu amesema hawawezi kuhudhulia futari yake wakati amekuwa akiwa fedhehesha kila siku wakitaka kuongea hoja ya msingi
tundu lissu pia amesema spika saivi kalibinafsisha bunge kwa serikali anashilikiana na serikari na siyo bunge kama ambavyo inatakiwa kufanyika
pia tundulissu amesema spika amekuwa na tabia ya kuwapa wabunge wa upinzani vifungo vya nje na kuwa fedhehesha pia hivyo hawawezi kushilikiana na yeye kwakuwa hawatendei haki inayo stahili
TUNDU LISU AMJIBU SPIKA WA BUNGE
By -
June 27, 2017
0
Tags: