Aliyekuwa mgombea uraisi kupitia chadema.Edward lowwasa afanyiwa mahojiano leo mapema hasubui
kabla lowasa alitakiwa kufika kwa mkurugenzi wa makosa ya jinai kwa kwa mahojiano ambayo hayakuelezwa chanzo chake nini kilicho pelekea lowasa kutakiwa kuhojiwa
alitakiwa kuja hapo saa nne kamili hasubui na yeye akatii na alifika ofisini hapo saa 3:58 kuitikia wito huo
wana habari wali zuiliwa kuchukua picha zozote katika tukio hilo ambapo hakuna taaria kamili wengi wakizani labda matamshi aliyo yasema kuhusu mashehe wanao shikiliwa na polisi ambapo lowassa aliitaka serikali kuwaachia kwakuwa mpaka sasa hawaja hukumiwa na muda una zidi kwenda
Tags
Kitaifa