Polisi imesibitisha kutokea kwa tukio la kuibiwa mtoto mdogo wa miezi minne mkoani mwanza
kwa mujibu wa taarifa ni kwamba mama mzazi wa mtoto huyo alichukuliwa kwaajili ya kwenda kufanya kazi za ndani katika nyumba moja mitaa ya ustawi wa jamii.jijini mwanza alipo fika hapo walimpatia elfu kumi ili akanunue mkate alipo rudi akakuta wale watu wametoweka
majirani wameachwa na bumbu wazi kwakuwa hawajaelewa mpaka sasa kuwa walifanya hivyo kwa malengo gani ukizingatia mtoto ni mdogo
kamanda wa polisi amesema uchunguzi unaendelea kuwabaini waliofanya tukio hilo huku mama wa mtoto huyo akisema walio fanya tukio hilo anawafahamu hivyo itaraisisha uchunguzi
Tags
Kitaifa