Baada ya kufanya shambulio la gurunet na risasi katika bunge hatimae helkopta iliyo tumika yapatikana
helkopta hiyo imepatikana kusini kilomota arobaini kutoka ilikofanya tukio hilo huku rubani wa helkopta hiyo hajulikani alipo mpaka sasa
rubanu huyo alituma picha ya video akiwa na watu nyuma yake walio ficha sura zao wakiwa na siraha mikononi na akisema ata pambana dhidi ya raisi wa nchi hiyo
rubani huyo ambae alikuwa ni polisi aliiba helkopta hiyo na kushambulia majengo ya bunge kwa maguruneti na risasi na baadae kutokomea kusiko julikana
Tags
Kimataifa