Maroli 103 ya mahindi yakamatwa kilimanjaro yakiwa mbioni kuelekea nchi jiarani ya kenya
mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Anna mghwira amesema wameyakamata kufuatia agizo la waziri mkuu la kupiga marufuku uuzwaji mahindi nje ya tanzania mpaka serilali itakapo ruhusu
hatua ya kuzuia uuzwaji wa mahindi unakuja baaada ya kushuhudiwa uchache wa mvua wakati wa kifuku hali iliyopelekea baadhi ya maeneo nchini kuwa na uhaba wa chakura hasa mahindi
pia serikali imesema yoyote atakae kaidi agizo hili na akasafirisha mahindi atakuwa amejiingiza katika matatizo yeye mwenyewe na sheria itachukuwa mkondo wake
Tags
Kitaifa