HomeMichezo MCHEZAJI WA CHELSEA BERTRAND AJIUNGA NA LYON byAdmin -June 28, 2017 0 Kinda huyo wa miaka.21 kutoka bukinafaso amejiunga na lyon kwa kiasi cha paun milion 8.8 mchezaji huyo ameichezea chelsea tangu mwaka 2014 kabla ya kwenda ajax kwa mkopo na sasa kuuzwa Lyon ya league1 ufaransa Tags Michezo Facebook Twitter