Waziri mkuu mstaafu mizengo pinda achulizwa na jina la zuzu ambalo ni jina la kijiji anacho ishi sasa
mizengo pinda alisema jina hilo siyo zuli ukizingatia watu wa kijiji hicho siyo mazuzu wanajielewa na wanafanya kazi kwa bidii tofauti na jina hilo
mizengo pinda aliomba jina hilo libadilishwe na kuitwe zinje kwa kuwa jina la sasa halina maana nzuri
mizengo pinda aliomba hayo wakati wa mbio za mwenge kijijini hapo ambapo akipewa cheti cha uchapakazi baada ya kuonesha kazi zake nzuli katika kilimo
mizengo pinda anaishi kijijina hapo akilima na pia anafanya ufugaji ambapo huwa analima nyanya,zabibu na mazao mengine
pia kiongozi wa mwenge amewataka wananchi waende kwa mizengo pinda wakajifunze aina nzuri ya ukulima kama anayo ifanya waziri mkuu mstaafu shambani kwake hapo
pia mizengo pinda amewataka wananchi kufanya kilimo cha kisasa kwa kuwa kinafaida na kilaleta pesa kama ambavyo yeye anavyo fanya
PINDA ACHUKIZWA NA JINA LA ZUZU
By -
June 27, 2017
0
Tags: