SIMBA CHAWENE ATEUA MADIWANI DODOMA

Admin
By -
0

Waziri wa tamisemi.mh simba cha wene awateua madiwani katika manispaa ya dodoma

miingoni mwa walio teuliwa ni pamoja na profesa wa chuo kikuu cha UDOM davis mwamfupe kuwa diwani wa dodoma mjini

simba chawene ametumia mamlaka aliyopewa ya kuteua madiwani ya sheria namba 288 (211),(2d) ya serikali za mitaa kufanya uteuzi huo chini ya sheria ya mwaka.2010 sura ya 4(1) na 5(1) ambayo inampa mlaka ya kufanya uteuzi wa madiwani

pia miongoni mwa walio teuliwa ni pamoja na Rose nitwa (ccm) na vincent tibalindwa (chadema)

lakini.baada ya uteuzi hii baadhi ya watu wameanza kunong'ona kuhusu uteuzi wa pro. davis.mwamfupe wakisema uteuzi huo una mwandaa kuwa meya wa manispaa ya dodoma baada ya meya wa mwanzo kusimamishwa kwa matumizi mabaya ya madaraka

naibu meya amesema uteuzi huu ni kama uteuzi mwingine hauja mwandaa mtu yoyote kuja kuwa meya na amewataka wanao lalamika kuwa na amani na uteuzi huo


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)