Mpaka sasa watu 15 wamekutwa wamesha poteza maisha baada ya mapolomoko nchini china
kwa mujibu wa ripoti mpaka sasa zaidi ya watu 100 hawajulikani walipo baada ya maporomoko hayo kutokea katika kijiji cha xin-mo nchini china
mapolomoko hayo yametokea baada ya eneo linalotembelewa na watarii wengi kupatwa na polomoko la udongo ambapo watu zaidi ya 50 wanahofiwa kupoteza maisha
mpaka sasa jitihada za uokoaji zinaendelea kwa kutumia mmbwa na vifaa vingine ili kugundua baadhi ya miili iliyo nasa katika mapolomoko hayo
nchini chini si mara ya kwanza kutokea mapolomoko ambapo mara nyingi huwa kunatokea mapolomoko hasa kwenye milima kama ambavyo imetokea sasa
WALIO FARIKI CHINA WAFIKIA 15
By -
June 24, 2017
0
Tags: