LAMPARD AWAPA USHAULI CHELSEA KUHUSU COSTA

Admin
By -
0

Mchezaji wa zamani wa chelsea Frank lampard asema chelsea itakuwa na wakati mgumu ikimwacha diego costa

lampard ambae aliiletea chelsea mafanikio makubwa ikiwepo ushindi wa ligi alisema costa ana mchango mkubwa klabuni hapo na endapo watamwacha aondoke watapatwa na wakati mgumu saana


hivi kalibuni kumekuwa na tetesi kuhusu diego costa kuhama klabuni hapo huku yeye mwenyewe akisema kocha wake amemwambia hamwitaji katika kikosi chake kijacho kitakacho anza msimu mpya wa ligi kuu uingereza

diego costa amekuwa na tetesi za kutaka kuludi katika timu yake ya zamani ya atletico madrid ya hispania baada ya kutokuwa na mahusiano mazuri na kocha wake wa chelsea Antonio conteh


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)