SERIKALI YATOA SIKU SABA WALIMU WAPEWE POSHO

Serikali imetoa siku saba kwa halmashauri nchini kuwapa posho walimu wapya walio ajiliwa

walimu hao ambao ni wa hesabu na sayansi walikuwa hawajapatiwa pesa zao za kujikimu punde walipoajiliwa hali iliyo wapelekea kuwa na hali ngumu kwa sasa

walimu walio pewa ajira ni walimu wa masomo ya hesabu na sayansi ambao walihitimu vyuo mwaka 2015 huku walimu wa masomo mengine wakiwa hawajui hatma yao mpaka sasa

walimu wengi wa masomo ya sanaa ba biashara hawakujumuishwa katika ajira na mpaka sasa hawana uwakika wa ajira huku serikali ikisema ina walimu wengi wa sanaa ambao wapo mashuleni hivyo hawataweza kuajili kwa kipindi hiki

hatua ya kuhusu posho ilikuwa ni swali aliloulizwa waziri bungeni ni lini walimu hao watapata pesa zao za kujikimu maana tangu waajiliwe hawajapatiwa pesa hizo.


Post a Comment

Previous Post Next Post