SERIKALI KUAJIRI WATUMISHI WAPYA

Serikali imesema ipo mbioni kuajili watumishi wapya hasa katika sekta ya afya kutokana na upungufu

serikali imesema inatarajia kuajili wafanyakazi wapya kuziba nafasi iliyoaachwa na wale wenye vyeti bandia ambao wamefukuzwa kazi kutokana na kutokuwa na vigezo

serikali.inatarajia kuajili wafanyakazi zaidi ya 50000  kuziba mapengo yaliyoachwa na wale wenye vyeti bandia na pia wamejipanga kuongeza wafanyakazi wengine wapya ili kuimalisha utendaji

pia serikali imesema muda wa kupokea rufaa kwa wafanyakazi wenye vyeti vyenye utata unakaribia kuisha ivyo wanye kwa wakati ili kuepusha usumbufu unaoweza kujitokeza


Post a Comment

Previous Post Next Post