Polisi nchini ufaransa inamshikilia mtu mmoja ambae alitaka kufanya shambulio nje ya msikiti nchini ufaransa
mtu huyo mwenye asili ya armenia alifanya jaribio la kuvamia l
katika msikiti huo majira ya mchana lakini polisi walifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya yeye kufanya shambulio lake
mpaka sasa haijajulikana mtu huyo alikuwa ana lengo gani katika msikiti huo kiasi cha kutaka kuvania
polisi imesema tukio hilo ni la kawaida na wala halina ufungamano na ugaidi labda chuki za kidini
siku za karibuni kumeshuhudiwa mashambulio mengi barani ulaya ambayo yana aminika kufanyika kwa chuki za kidini yali iliyopelekea ulinzi kuwa mkubwa kote ulaya ili kuzuia shambulio jipya
majuzi mtu mmija aliwashambulia kwa gari waislamu waliokuwa wamekusanyika baada ya swala ya jioni nchini uingereza ambako watu kadhaa walijeruhiwa
Tags
Kimataifa