ALIYE ZIMIA BAADA YA KUVUNJA BANGIRI AFIKA MAHAKAMANI

Binti mmoja alizimia baada ya kuvunja bangiri yenye thamani ya milioni 97 karibu na mymar

binti huyo aliingia katika duka moja na kujaribu bangiri iliyokuwa inauzwa baada ya kuijalibu akauliza bei alipojibiwa bei ya bangili hiyo aliamua kuivua kwa haraka bahati mbaya ikaanguka na kuvunjika

baada ya kujua ameivunja bint huyo kwa uwoga akazimia baada ya kupewa huduma ya kwanza akazinduka

baada ya kuzinduka wahudumu wa duka hilo walimtaka alipe bei pungufu ambayo ni dola 25000 lakini yeye akajibu ana dola 1500 tuu hatua ambayo iliwafanya wauzaji wasikubari

hatua ilifika mpaka polisi ambako walishindwa kufikia makubariano ndipo hatua ya mahakamani ikafuata kwa kuwa wauzaji walitaka kulipwa pesa ya bangiri hiyo


Post a Comment

Previous Post Next Post