RONALDO APATA MAPACHA

Mshambuliaji wa real madrid na ureno christiano ronaldo atangaza kupata watoto mapacha

ronaldo alitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa facebook akisema amepata watoto mapacha usiku wa kuamkia leo

mapacha hao wamezaliwa kwa mama mmarekani ambae waliingia nae mkataba wa kuwabebea ujauzito kwa niaba ya mkewake ambae wamesha zaa mtoto mmoja wakiume

ronaldo usiku alikuwa dimbani na timu yake ya taifa ya ureno ambapo walitolewa na chile kwa mikwaju ya penalt

pia baada ya kuisha kwa mechi hiyo ronaldo alisema alijitaidi saana kucheza kwa nguvu zake zoote katika timu hiyo ya taifa lakini bahati mbaya  wametolewa katika nusu fainali


Post a Comment

Previous Post Next Post