Habari moja ya kushangaza imetokea mkoani mtwa na kuacha watu midomo wazi.baada ya mwanaume kumuoa mwanaume mwenzake bila ya kujua
tukio hilo limetokea katika kijiji cha mkuhara mkoani mtwara ambapo mwanaume mmoja bila ya kujua alimwoa mwanamume mwenzake
akitoa maelezo alisema kuwa mahusiano na mwanaume huyo yalikuja baada ya kukosea namba ndipo wakaanza kuwasiliana huku akiisi ni mwanamke kumbe ni mwanaume mwenzake
alisema uhusiano wao ulikuwa mpaka kufikia hatua ya kuamua kuoana na wakafata taratibu wakaoana lakini ilipofika muda wa kujamiiana mwenzake akawa kilisiku anasema anaumwa na alikuwa anadai kuumwa kwa muda wa miezi minne ndipo alipokuja kugundua kuwa hakuwa mwanamke ni mwanaume mwenzake
anasema hakuweza kumtambua kama ni mwanaume kwa kipindi chote kwa kuwa mwanaume huyo alikuwa anafanya kazi zote za kike na pia mavazi anavaa ya kike pia ata kujiremba kama mwanamke anajiremba pia
Tags
Kitaifa