CCM WAMJIA JUU LOWASSA

Chama cha mapinduzi CCM kimemjia juu lowasaa walimtuhumu kutoa lugha ya uchochezi

cccm kupitia katibu wa uenezi imesema kauli aliyotoa lowassa kuhusu mashehe ni ya kichochezi inaweza kuleta matatizo katika jamii

ccm imesema inaiomba serikali imchukulie hatua kali za kishereia kufuatia matamshi  ambayo lowasa aliyatoa katika siku ya kufuturu aliyo iandaa

katika siku hiyo lowassa aliitaka serikali kuwaachia huru mashehe hao ambao kwa miaka sasa wanashikiliwa huku kesi yao ikiwa haijatolewa maamuzi mpaka sasa

pia kupitia Polepole ccm imesema kwa moyo mmoja inaunga mkono kauli ya mh raisi ya kuto wataka wanafunzi waliopata ujauzito kuto rudi shuleni labda warudi na kusoma elimu ya watu wazima na si vinginevyo


Post a Comment

Previous Post Next Post