makaburi kumi ya pamoja yagunduliwa kaskazini mwa DRC ikiaminika mauaji hayo yalifanywa na waasi.kaskazini mwa nchi hiyo
maeneo hayo mara chache kumekuwa na mapambano kati ya jeshi la serikali dhidi ya waasi ambao wanapatikana katika maeneo hayo kwa kipindi kilefu
pia katika mauaji nchini congo jeshi la serikali pia linatuhumiwa kufanya mauaji ambapo siku kadhaa zilizopita ulinaswa mkanda wa video ukiwaonesha wanajeshi wa serikali waliwashambulia kwa risasi raia ambao hawakuwa na siraha
pia miezi michache iliyopita kaburi jingine la watu wengi liligundulika mashariki mwa DRC ambako mapigano yanaendelea kila siku kati ya serikali na vikosi vya waasi
MAKABURI 10 YA PAMOJA YAGUNDULIKA DRC
By -
June 26, 2017
0
Tags: