Polisi mkoani Njombe inamshikilia mwalimu mkuu msaidizi wa sekondary ya wanike kwa kwa tuhuma za kukutwa akifanya mapenzi na mwanafunzi usiku
mwalimu huyo alifumaniwa na wanafunzi kwenye moja ya darasa shuleni hapo majira ya usiku baada ya wanafunzi hao kuwa fuatilia kwa muda mrefu
pia mkuu wa wilaya ya wanging'ombe mh Ally kasange amewataka polisi kuto mpatia dhamana mwalimu huyo maana kuna taarifa za kutaka kuvuruga ushahidi huo
mpaka sasa mahojiano yanaendelea kufaham undani kamili wa tukio hilo ambalo haliendani na maadili ya utumishi wa uma na kijamii pia
tabia ya walimu kutembea na wanafunzi hasa wakike ni tatizo la muda mrefu na mkuu wa wilaya ametaka sheria ichukuwe mkondo wake ili iwe fundisho kwa walimu wengine wenye tabia kama hii
kwa mujibu wa sheria endapo mwalimu huyo atakutwa ns hatia atakuwa ametenda kosa la ubakaji ambalo adhabu yake ni jela miaka 30
Tags
Kitaifa