Mwanamke mmoja nchini marekani amepandishwa kizimbani baada ya kumuua mume wake wakati wakifanya utani
wawil hao wana mtoto mmoja walikuwa wanapendana saana na walikuwa wakifanya utani kila mara ila mara hii imekuwa ni bahati mbaya kwao
akiongea na polisi mwanamke huyo alisema waliamua kufanya vile ili wajiongezee umaarufu kunako yutube lakini bahati mbaya akasababisha kifo kwa mume wake
katika video hiyo inamwonesha mwanamke huyo akiwa amekamata bunduki na mwanaume ameziba kifua chake kwa kitabu
mwanamke huyo alisema hakuzani kama risasi itapita kwenye kitabu na kumuua mumuwe kwa kuwa hawezi kupanga kumuua kwa kuwa anampenda sana
Tags
Entertaiment