Polisi nchini colombia imesibitisha kutokea kwa ajari ya mashua jana jumapili
mashua hiyo ilizama katika bwawa moja kaskazini mwa colombia ikiwa na watarii waliokuwa wakifanya utarii katika bwawa hilo
kwa mujibu wa mashuhuda boti hiyo ya kifahari ili ng'oa nanga jana mchana lakini muda mchache zilipatikana taarifa za mashua kuzama ndipo bot zilienda kuwaokoa ambapo walifanikiwa kuwaokoa watu zaidi ya ishirini
mpaka sasa chanzo cha ajari hiyo hakija faamika huku watu sita wakiwa wamesha fariki dunia huku zaidi ya kumi na sita hawajulikwni walipo mpaka sasa
utafutaji wa miili mingine bado unaendeleq kuipata iyo miili ya watu ambayo mpaka sasa haijajulikana ilipo baada ya ajari hiyo
MASHUA YAUA 6 COLOMBIA 16 HAWAJULIKANI WALIPO
By -
June 25, 2017
0
Tags: