Jana meya wa manispaa ya ubungo na wananchi wengine walizindua mtaa mpya ulioitwa V.WANYAMA lakini baadae manispaa walaja kubatilisha na kung'oa mlingoti wa mta huo
kufuatia hatua hiyo meya wa ubungo amesikitishwa saana na ametupa lawama zake kwa watu walio weka siasa mbele na kuacha masrai nyuma
meya anasema anafahamu taratibu za kubadili mitaa na taratibu zoote walizifuata katika kufanikisha hilo lakini chaajabu manispaa wakaja kutoa mlingoti wa mtaa na kuondoka nao
kufuatia hatua ya kuanzisha mtaa huo abari zilienea maeneo mengi hususani kenya na hata barani ulaya mpaka baadhi ya mashilika makubwa duniani ya habari za michezo ya liripoti tukio hilo la uzinduzi huo wa mtaa wa V.WANYAMA mjini dar es salaam
MEYA UBUNGO ASEMA KUNG'OREWA KWA MTAA WA V.WANYAMA NI SIASA MBAYA
By -
June 25, 2017
0
Tags: