MAJARIWA AMPONGEZA ANNA MGHWIRA

Waziri mkuu khasim majaliwa ampongeza mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Anna mghwira kwa uchapaji kazi

pongezi hiyo imekuja baada ya mkuu wa mkoa uyo wa kilimanjaro kukamata maroli 103 yaliyobeba mahindi yakielekea nchini kenya

waziri mkuu alipiga marufuku uuzwaji wa mahindi nje ya nchi kwa kuwa taifa bado linauitaji wa chakula kwakuwa mvua ilikuwa chache wakati wa masika hivyo kuna uhaba wa chakura nchini

waziri mkuu amesema mkuu wa mkoa huyo amefanya kazi nzuri katika mda mchache anastahili pongezi kwa kazi hiyo aliyo ifanya


Post a Comment

Previous Post Next Post