Naibu waziri wa umwagiliaji amesema si vibaya kwa pwani kuwa na mlundikano wa viwanda
akijibu swali hilo bungeni alisema uwepo wa viwanda sehemu fulani hutegemea na mahitaji na upatikanaji wa marighafi kwaajili ya kiwanda husika
hatua hii imekuja baada ya maswali mengi yanayo hoji kuhusu uwepo wa viwanda vingi mkoani pwani hasa katika serikali hii ambayo sera yake kubwa ni viwanda hali iliyopelekea maswali
mkoa wa pwani kwa sasa ni miongoni mwa mikoa ambayo ina viwanda vingi na vingine vinazidi kujengwa mkoani hapo hasa viwanda vya unga na bidhaa zingine ambazo ni maitaji ya msingi kwa watanzania
Tags
Kitaifa