Waziri mkuu khasim majaliwa amesema ni marufuku kwa wafanya biashara kuuza mahindi nje ya nchi
majaliwa ameyasema hayo leo katika ibada ya iddi ambapo amesema kuna maeneo nchini hayakupata mvua vizuri hiyo yanaitaji kiasu kikubwa cha mahindi
pia amesema kuna baadhi ya nchi zimetuma barua kuomba kuuziwa mahindi lakini serikali bado haijajibu kwa kuwa nchi bado una uhitaji wa chakula cha kutosha kutokana na mvua kuwa chache baadhi ya maeneo wakati wa kifuku
pia waziri mkuu amesema hakuna aliyepewa kibari cha kuuza mahindi nje ya nchi kwa sasa na atakae bainika atachukuliwa sheria ili iwe fundisho kwa wengine kwa kuwa nchi bado haija jitoshereza kwa chakula
msimu wa mvua uliopita baadhi ya maeneo nchini yalikumbwa na uhaba wa mvua hali inayo pelekea serikali kupiga marufuku uuzwaji wa chakura hususani mahindi nje ya mipaka ya tanzania
MAJALIWA APIGA MARUFUKU UUZAJI WA MAHINDI
By -
June 26, 2017
0
Tags: