WALIO MWEKA KWENYE JENEZA MTU MWEUSI WAPANDISHWA KIZIMBANI

Admin
By -
0

Mwishoni mwa mwaka jana kulivuja video ikiwaonesha wanaume wawili wazungu wakimlazimisha mtu mweusi kuingia kwenye jeneza jatimae wazungu hao wapandishwa kizimbani

video hiyo ilionesha wazungu hao wakimlazimisha kijana huyo mweusi kuingia kwenye jeneza huku wakimtishia kumchoma moto huku akiwa hai huku kosa lakijana huyo likiwa alijatambulika

wazungu hao wawili ni wakulima magharibi mwa afrika kusini walisema walimfanya hivyo kwa kuwa kijana huyo alipita katika shamba lao bila ya ruhusa ivyo walikuwa  wanamwonya

hakimu anae simamia kesi hiyo amesema wazungu hao wana roho mbaya na niwabaguzi wa rangi na walifanya kitendi kisicho cha uungwana

kesi yao imehailishwa kwakuwa uchunguzi bado hauja kamilika


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)