Waziri wa mambo ya ndani mh mwigulu nchemba asema watakao mpinga raisi kuhusu wanafunzi wajawazito wataadhibiwa
waziri amesema kauli ya raisi ni kauli ya serikali na shule itakayo kaidi agizo hilo itafutiwa usajili kwa kuwa itakuwa imevunja sheria
mh.raisi alisema mwanafunzi atakae pata ujauzito shuleni hatorudishwa shuleni ili iwe fundisho kwa mabinti wengine maana wakirudishwa shule hawataogopa kupata ujauzito
kauli hii imewaacha watanzania wengi njia panda huku ilani ya chama cha mapinduzi ikisema mwanafunzi akipata ujauzito baada ya kujifungua watarudi shule hatua iliyopingwa na raisi
NCHEMBA:SHULE ITAKAYO MRUDISHA SHULE ALIYEPATA UJAUZITO KUADHIBIWA
By -
June 25, 2017
0
Tags: