Mkuu wa mkoa wa Arusha Mlisho gambo amesema wapinzani wa tanzania hawana malengo
Gambo amesema wapinzani nchini tanzania wasipo niangaria upinzani utakufa kwa kuwa raisi kasha fanya kazi ambayo walitakiwa kuifanya wao kama wapinzani
amesema saivi wapinzani wamekuwa ni wapingaji wa kilakitu na hakuna jema kwao amesema mh raisi kajitorea kuwa tumikia watanzania na wamuache afanye kazi yake kumpinga ni kukwamisha maendeleo
gambo amesema mtu yoyote atakeae jaribu kuziludisha nyuma jitihada za mh raisi za kuleta maendeleo nchini mtu huyo atadiri nae ili asije kuwa kikwazo cha maendeleo yanayo kusudiwa na raisi..
Tags
Kitaifa