CHILE YAMTOA URENO

chile imefanikiwa kumtupa nje ya mashindano ureno ambayo ilikuwa inapigiwa chepuo kushinda

katika mechi ambayo kila timu ili cheza vizuri kutokana na uwezo wake hatimae mechi iliisha suruhu ya bila kufungana ndipo wa kaingiq katika mikwaju ya penalti na chile kufanikiwa kuwa mshindi wa mechi hiyo kwa 3-0 na kufanikiwa kuingia fainali


Post a Comment

Previous Post Next Post