DIAMOND AGEUKA MUUZA KARANGA

Baada ya kuzindua pafyumu zake."CHIBU" msanii diamondi aanza kuuza karanga kitu ambacho hakikutarajiwa

saivi diamondi amekuja na karanga zake ambazo kaziita DIAMOND KARANGA ambazo zimeshaanza kuuzwa nchini kenya kwenye supermaket tofauti

biashara hii ni ya kipekee ambayo hakuna aliyefikilia kama diamond anaweza kuja naayo kwa sasa

hii ni baada ya kufanikiwa kwa CHIBU pafyumu ambayo aliitangaza miezi kadhaa iliyopita

pia amekaribisha uwakala ambapo ukinunua boxo moja ya 20000 utapata faida ya ya shilingi elfu kumi katika kila box moja lenye paket miamoja


Post a Comment

Previous Post Next Post