Tarehe kama ya leo mwaka 2007 STEVE JOBS alifanya mapinduzi makubwa ya tekenolojia duniani baada ya kuzindua aina mpya ya simu ambayo imekuwa bora zaidi duniani
kuanzia ilipo tambulishwa IPHONE imekuwa ndiyo simu pendwa zaudi duniani na imefanikiwa kufanya mauzo zaidi ya bilioni moja ulimwenguni kote
aina hiyo ya simu imekuwa pia ni simu bora zaidi katika ulinzi wa taarifa za mtumiaji kwa kuwa katika simu hizo ni vigumu kupata taarifa za mmiliki kama ilivyo kwa simu zingine
katika utafiti uliofanywa umeonesha kuwa watumiaji wa Iphone ni watumiaji ambao hujiskia saana tofauti na watumiaji wa aina zingine za simu pia zikiwa na bei kubwa dukani na ubora wa hali ya juu kupita simu zingine
Tags
Technology