Juzi katika usiku wa tuzo za BET msanii chrissbrown alizichapa na migos kavu kavu
kwa mujibu wa stori chriss alikuwa na washikaji zake backstage ghafla alipowaona migos wanakuja chriss akaamua kuondoka
kipindi anaondoka mmoja wa mpanbe wa chriss alipigana kikumbo na mmoja wa jamaa wa migoss ndipo ugomvu ulipoanzia
ila wengi wanazani chanzo ni EX wa chriss ambae anatoka na mmoja wa migos ambae kitambo alikuwa rafiki wa karibu wa chrissbrown na chriss bado anampenda mpenzi wake huyo wa zamani
Tags
Entertaiment