watumikishwa kingono na alshabaab

ripoti mpya imesibitisha kuwa alshabaab wamekuwa wakiwateka mabinti na kuwatumikisha kingono

miongoni mwa wasichana hao amesema amekuwa akifanya mapenzi na wanaume wawili mpaka watatu kwa wakati mmoja

amesema hajui ata idadi yao.maana ni wengi na alifanyishwa kwa lazma

alisema wanaume hao hulipa pesa kwa alshababu na yeye hapewi chochote zaidi tu ya chakula ambacho pia hapati kwa wakati

Post a Comment

Previous Post Next Post