steve cook asain mkataba mpya bournermouth

mchezaji wa fc bornermouth steve cook amesain mkataba mpya kubakia klabuni hapo

steve amesaini miaka minne baada ya mkataba wake wakwanza kuwa umekwisha

steve amesema anafurai kuendelea kunaki klabuni hapo kwakuwa anafuraia maisha ya hapo

steve mwaka huu amecheza michezo yote ya timu hiyo.ivyo basi kuwa na uhakika wa namba katika timu hiyo

Post a Comment

Previous Post Next Post