mwanamke aliye lazimishwa kuorewa arudi kwao india

mwamke raia wa india ambae alilazimishwa kuorewa india awasili.nyumbani kwao india mapema leo

mwanamke huyo ambae alilazimishwa kuolewa na mume mpakistani anasema aliteswa saana na mwanaume huyo ambae alimtisha kwa bunduki endapo angekataa

kurudi kwake nyumbani kumemuja baada ya kushinda kesi.mahakamani huku mwanamume huyo akikanusha tuhuma na kusema ni uongo mtupu

mwanamke huyo amerudi baada ya kupata msaada kutoka ubarozi wa india nchini pakistani

Post a Comment

Previous Post Next Post