wasio funga ndoa kushitakiwa burundi

serikali nchini burundi imesema ambao waishi bila ya kufunga ndoa wataadhibiwa

serikali imesema kila washio pamoja wanatakiwa wafunge ndoa maana ni muhimu kiserikali na hata ki dini pia

mpaka sasa hawajasema.wasio funga ndoa watapata adhabu gani maana sheria hii ni mpya

Post a Comment

Previous Post Next Post