bomba la kusafirisha pombe kujengwa ujeruman

waandaaji wa tamasha moja la muziki nchini ujerumani wamesema wateja wao hawatakuwa na kiu ya pombe

wamejanga bomba kuubwa la kuweza kusafilisha pombe kwa watakao kuja kwenye tamasha lao

bomba hilo la ulefu wa km 7 litakuwa linasafilisha pombe kwa kili mteja atakae kuja siku hiyo ambapo bomba hilo linauwezo wa kusafirisha sehemu tofauti grass 7 ndani ya sekunde

ujerumani ni miongoni mwa nchi duniani  zenye idadi kubwa ya wanywa pombe

Post a Comment

Previous Post Next Post