wapasua mwili wa marehem na kuchukua madawa ya kulevya

mfanyakazi wa mochwari mjini dar es salaam akili kupasua mwili.wa maiti na kuchukua madawa ya kurevya

mtuhumiwa huyo ambae alikuwa akifanya kazi mochwari alipasua mwili wa raia wa ghana ambae alikutwa amekufa katika nyumba ya wageni mjini dar

inaonekana alipata taarifa kuwa mwili huo una madawa ivyo basi akaamua kuupasaua na kuchukua madawa ambayo aliyauza

alikwenda kumuuzia ally nyando ambe pia alisha wai tajwa katika list ya makonda ya watu wanao uza na kutumia madawa ya kulevya


Post a Comment

Previous Post Next Post