akutwa amefariki gest songea

mwanamke mmoja aliye tambuliwa kwa jina la asha rais amekutwa amefariki gest mjini singea

akiongea na.waandishi kamanda wa polisi amesema mwana mke huyo alikuwa akisafili kutoka mtwara kuja songea akachukua chumba salama gesti maeneo ya mfaranyaki alipo ingia ndani akawa ameingia jumla

muhudumu wa gest amesema mama huyo alikuja akiwa amechoka saana akapewa chumba lakini hakutoka tena

ndipo walipo enda kumgongeshea mlango hakawa hafungui ndipo wakaita polisi ambao walivunja mlango na kumkuta amefariki huku akiwa hana jeraha lolote

Post a Comment

Previous Post Next Post