WANAWAKE WAKIMBIA SUDANI KUSINI

kufuatia mapigano yanayo endelea sudani ya kusini maelfu ya wanawake wamekimbia kutoka sudani kusini

kwa mijibu wa shilika la msaraba mwekundu wanawake zaidi ya laki nne wamevuka mpaka na kuingia sudani tangu mwakajana

pia majeshi ya sudani kusini yamekuwa yakituhumiwa kwa ubakaji ,mauaji na mateso dhidi ya raia nchini humo

wengi wa wanawake hao wapo kwenye makambi maeneo ya darfur na mashariki mwa sudani

vita ivyo ambavyo vinataka kuwa kuja  kma mauaji ya kimbali vimesababisha watu wengi kukimbia na uchumi kushuka

Post a Comment

Previous Post Next Post