polisi nchini urusi yawashikilia watu kadhaa ambao ni.wana harakati wa mapenzi ya jinsia moja nchini urusi ambao walikuwa wanaelekea kwa mwana sheria mkuu
wana harakati hao ambao mmoja ni raia wa italia walikamatwa na polisi huku pisi wakitoa ufafanuzi kuwa wamewakamata kwakuwa shughuli yao haikuwa lasmi
wanaharakati hao waliandamana ili kushinikiza wenzao walio wekwa kizuizini kuachiwa wakidai wamekuwa wakiteswa na polisi
Tags
Kimataifa