WAFANYAKAZI WAKOSA AJIRA BAADA YA B.O.T KUIFUNGA BANK YA (FBME)

Admin
By -
0

Baada ya mahakama nchini marekani kuituhumu bank ya FBME kuusika katika utakatishaji wa fedha halamu atimae BOT imeifunga benki.hiyo na wafanyakazi kukosa ajira

BOT ilitoa taarifa za kuifungia benki hiyo apa tanzania kuto jihusisha na huduma tena za kibenki na kuiweka chini ya ufirisi hali iliyo pelekea wafanyakazi kukosa ajira pia benki kushindwa kufanya au kuendelea na huduma zake

banki hiyo ambayo inamatawi sehemu tofauti duniani kama CYPRUS na nchi zingine za ulaya aitakiwa kuhudumu.tena hapa tanzania baada ya BOT kuifungia


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)