waandamana kupinga ziara ya trump ubergiji

maelfu ya waandamanaji wajitokeza btussels kupinga ujio wa raisi trump nchini humo

waandamanaji hao walibeba mabango wakionesha hasira zao za kuto mwitaji trump nchini humo huku wengi wakisema ni mmbaguzi hawamtaki

trump ameenda kwaajili ya mkutano wa NATO ambapo pia trump amekutan na mfalme wa nchi hiyo na kufanya nae mazungimzo

Post a Comment

Previous Post Next Post