john boko atua msimbazi

taarifa zilizo.tufikia zinasema mchezaji wa zamani wa AZAM pichani amejiunga na timu ya simba

boko amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo baada ya kuachwa na azam

mwenyewe.boko bado hajasibitisha taarifa hizo ila uongozi wa azam umesema umefanya mazungumzo na simba kuhusu boko

Post a Comment

Previous Post Next Post